INSTABRIDGE: Jinsi ya kupata passwords za Wi-Fi 100%

 Kumbuka ni kielimu tu. Hii njia imewekwa kusaidia mtu aliyesahau passwords za wi-fi yake, Itumie kiuangalifu.


Kama unahitaji password za wifi basi upo Mahali sahihi na njia hii imejaribiwa na kuonekana inafanya kazi aslimia 100. Japokuwa kwa baadhi ya wi-fi haifanyi kazi. Hapa chini ni hatua za kufungua password ya wifi unayoitaka.

1. Download Instabridge kutoka Google play store au app store. Kiurahisi unaweza kubonyeza hii link hapa Chini.

INSTABRIDGE APP

2. Fungua App yako. Angalia location ulipo na wifi zinazopatikana. Bonyeza wifi unayoitaka na Kisha litakuja tangazo fupi (Adds) kwa juu utaona neno Skip au X bonyeza na subiri tena kama Kuna tangazo jingine lipite. Matangazo yakiisha utakuwa umepata password yako.

Muhimu. Hii app ina matangazo mengi mno. Unatakiwa ukae makini ukiitumia. Mfano hiyo Skip ama  X ya kutoa Ads huchelewa mno na inatokea kwenye conner kabisa ya simu mara nyingi utajikuta umebonyeza ile fake yake ukajikuta maeneo mengine na usipate unachokitafuta.

ANGALIA SIRI KALI ZAIDI ZA SIMU AMBAZO HAZIJULIKANI

Post a Comment

0 Comments